Hali kama hii inayoendelea Nvhini mwetu Tz,inaondoa kabisa uzalendo na kujituma kulitumikia taifa hili, haina maana kwa mtu kujisomesha kwa dhiki na taabu nyingi, huku watoto wa rais wanasomeshwa na bodi ya mikopo, halafu wewe kajamba nani uliyejisomesha mwenyewe inakuja tokea unafanyiwa unyama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.