Inategemea na mambo yafuatayo
1) Either wamekuchoka kutokana na kwenda kila siku na propaganda zilezile
2)Ni jambo la kawaida kimila za kule.
3)Waziri mkuu wao anashughuli nyingine muhimu za kitaifa au hayupo
Ila Malkia kukupokea usahau milele labda mkachumbie kwenye familia yake.... Chagua moja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.