Recent content by Joseph5

  1. J

    JamiiForums Tanzania Utofauti wa majina

    Namaanisha vyeti vya shule vinasomeka kwa majina mawili tu lakini NIDA Kuna majina matatu mfano Kwenye vyeti Hamis Isdor,lakini Kwenye NIDA ni Hamis Isdor Abel
  2. J

    JamiiForums Tanzania Utofauti wa majina

    Naomba ambaye alishawahi kukutana na hii changamoto afafanue aliisolve vipi majina katika vyeti yanatofautiana na majina ya kitambulisho Cha taifa
  3. J

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuna majini?

    Majini Sio viumbe wa kawaida sasa huo utafiti ulifanyia wapi tueleze mkuu
Back
Top Bottom