Recent content by Joseph msai

  1. Joseph msai

    Napata maumivu ya kiuno

    Kazi ngumu au za kuinama nimezifanya kipindi cha nyuma kidogo make nilikua nikifyatua tofali za brock kwa mda.
  2. Joseph msai

    Napata maumivu ya kiuno

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 21. Hivi karibuni nimekua nikisikia maumivu makali sana ya kiuno hasa nikiwa nimkaa. Au wakati wa kulala. Je, chanzo chake ni nini na je naweza pata tiba. [emoji120]
  3. Joseph msai

    Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    Naomba unisaidiee.... Nina tatizo la kuumwa kiuno.. Hivi kalibu yapata wiki ya 3 toka nianze kusikia maumivu haya ya kiuno. Je ninawez kupata tiba?!
  4. Joseph msai

    Natafuta kazi yoyote halali. Nina uzoefu wa Shirika la Mikopo na Uwakala

    Ninaitwa joseph Msai mkazi wa mkoa wa Mara umri wangu ni miaka 22. Nimehitimu elimu ya sekondari. Ninatafuta kazi kwa yeyote mwenye ajira anaweza nisaidia... Iwe ni shirika la mikopo au wakala wa pesa kidogo nina uzoefu. But kaz yoyote nipo tayali kufanya pia ni mazingira yyote. Asanten.
  5. Joseph msai

    Msaada katika uandikaji wa barua ya maombi

    Kwani ni nini maana ya kuomba msaada. Bro si kila kitu unaelewa. Ni vema kam ungepita bila kuandika chochote ikiwa haukuwa na la kuandika.
  6. Joseph msai

    Msaada katika uandikaji wa barua ya maombi

    Mimi ni kijan mwenye umli wa miaka 22 ninaomba mchngo/msaada wenu wadau katika upnde wa uandkaji wa barua ya maomb ya kazi. Barua znatofautiana kwa upnde wangu mimi barua ninayoinzngumzia ni barua ya maomb ya kazi katika kampuni/shirika linalojiusisha na utoaji wa mikopo. Kitu kikubwa...
Back
Top Bottom