Recent content by joseph meela

  1. J

    JamiiForums Tanzania Form 4 na wengine, angalieni hapa!

    Ninataka nikasome pcm sasa nina EDC physics nina E je naweza kwenda kurudia mtihani wa physics huku naendelea kidato cha tano private school
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mada maalum: Ushauri kulingana na matokeo yako ya kidato cha nne(2014)

    Sawa na je inawezekana kwenda advance private ila ndoto zangu mimi ilikuwa ni kusoma pcm na haitawezekana nitafanyaje ili niweze kufikia ndoto zangu
  3. J

  4. J

    Ndugu zangu naomba mnisaidie nimemaliza 2014 nilikuwa na C ya maths ,bios na kiswahil D ya hist,geo,eng,liter,chem, na E ya phy na civ je hapo nitaweza kuapply Chuo gani au ninaweza kwenda advance n
Back
Top Bottom