Recent content by Joseph leonard

  1. J

    JamiiForums Tanzania Wale walio chaguliwa clinical dentistry tanga tujuane apa.

    Kumbe we ni mbeya mm ni tanga.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa haya kuhusu vyuo vya afya na ualimu vya serikali

    Sio kwamb nimeandik sijui but ni mistake katik uandish 2 ila sio mbay
  3. J

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa haya kuhusu vyuo vya afya na ualimu vya serikali

    Samahanini ndugu, naomba kuuliza vyuo vya afya vya serikali huwa wanatoa vyakula na malazi hapo hapo chuoni au wanafunz wanajitegemeaa. Kinginee hivi kwa diploma za afya na ualimu kwa vyuo vya serikali wanafunzi huwa wanapewa hela ya kufanyia field na serikali au ni kwa wenzetu wa degree 2...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Wale walio chaguliwa clinical dentistry tanga tujuane apa.

    Kwa wale walio pata nafasi ya ordinary diploma in clinical dentistry njoo tufahamiane.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Tufahamiane tuliochaguliwa clinical dentistry Tanga

    Habarin ndugu, kwa walio chaguliwa ordinary diploma in clinical dentistry Tanga. Tufahamiane na kwa wakubwa zetu je hicho chuo ni kizuri kwa mazingira na hata elimu itolewayooo? Kwa mwenye uelewa jaman tusaidiane.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Msaada joining instructions chuo cha meno Tanga

    Asnte ndug yang kwa majib yako mzur.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Msaada joining instructions chuo cha meno Tanga

    Vp Vip lakin,kozi wee unaionaje ndugu yang inalipa au magumashi tu
  8. J

    JamiiForums Tanzania Msaada joining instructions chuo cha meno Tanga

    Je hawakutumia join ya mbeya wenda zinaenda
  9. J

    JamiiForums Tanzania Msaada joining instructions chuo cha meno Tanga

    Kwa wenyeji kaka zetu na dada zetu mlio tutangulia kwenye masuala ya kielimu naombeni msaada.Mimi ni mgen kabisa hum. Shida yangu ni kwamba nimechaguliwa chuo cha udaktari wa meno Tanga ngazi ya diploma in clinical dentistry nafasi ni thibitisha chuoni lakini tatizo ni join instruction form...
Back
Top Bottom