Nimepata matokeo aya ,geograph C,civics C,history C,kiswahili C,english C,biology C,chemistry D,physics,D,math F jumla na 3 ya kwanza 22 .na malengo yangu ilikua ni PCB au CBG ingawa kwa bahati mbaya imekua ivyo.najua serikalini aiwezekani kuchaguliwa je kwa mpangilio huu wa DDC ya PCB au CCD...