Recent content by Joseph 44

  1. Joseph 44

    PS4 yangu ya Kichina haikubali akaunti yangu, naomba msaada kutatua tatizo

    Kama uzi unavyojieleza ni kuwa nina ps4 slim yangu mpya ya kutoka china sasa kuna siku nimeamua ni sign in kwenye account yangu ya marekani sasa cha ajabu kila nikisign in inaandika "cannot use this account with this ps4" nimeshindwa kabisa kuelewa nimejaribu kucreate account mpya lakini...
  2. Joseph 44

    Nielekezeni jinsi ya kununua ma-Game kwenye PS 4

    Mbona wanasema mwisho ni 11.00 na sio 12 ulivyosema wew mkuu
  3. Joseph 44

    Nielekezeni jinsi ya kununua ma-Game kwenye PS 4

    Kwelikakambonayanguina10.5
  4. Joseph 44

    Nielekezeni jinsi ya kununua ma-Game kwenye PS 4

    kaka nakuomba nijibu swali langu la jana
  5. Joseph 44

    Nielekezeni jinsi ya kununua ma-Game kwenye PS 4

    ooooh apo sawa nimekuelewa mno kwaio cha mhimu game liingie kwanza kwenye console hayo mambo ya kuupdate yanakuwa ni optional
  6. Joseph 44

    Nielekezeni jinsi ya kununua ma-Game kwenye PS 4

    alafu kingine kaka nimeona kwenye mtandao wa ps unaweza download game bila kuhusisha console yako kwa kutumia kifaa kingine kama vile computer lakini likaingia kwenye ps yako ebu apo nieleweshe kwa undani zaidi kaka
  7. Joseph 44

    Nielekezeni jinsi ya kununua ma-Game kwenye PS 4

    kwaio kaka ukiliweka kwenye ps4 yako hilo wwe k24 litakudai update mojawapo? na hizo patch utazitolea wapi au wao watakupa autommaatic uupdate cd ikiingia?
  8. Joseph 44

    Nielekezeni jinsi ya kununua ma-Game kwenye PS 4

    chief mkwawa hujanijibu hili swali langu kaka
  9. Joseph 44

    Nielekezeni jinsi ya kununua ma-Game kwenye PS 4

    kwa mfano mkuu umenunua wwe k24 ya mwaka 2024 litakuwa lina version mpya?
  10. Joseph 44

    Nielekezeni jinsi ya kununua ma-Game kwenye PS 4

    kwani code za amazon zina gharama nafuu kuliko kununua hapa bongo? na vipi thamani yake inaendana na thamani ya soko la dollar yaani kwa mfano redeem code ina thamani ya dollar 10$ ambapo thamani ya hela ya Tz ni shilingi 26451.25 , utatakiwa kuilipa hii hela au itaongezeka kidogo? na vipi...
  11. Joseph 44

    Nielekezeni jinsi ya kununua ma-Game kwenye PS 4

    nilisikia ukiweka cd ya game eti utaitaji kuiupdate eti ni kweli?
  12. Joseph 44

    Nielekezeni jinsi ya kununua ma-Game kwenye PS 4

    yani kwakweli ps inamambo ya ajabu na vipi kuhusu cd utaweza kucheza offline ukizinunua?
Back
Top Bottom