Recent content by Jose1973

  1. J

    Natoa bure shamba la kulima

    Safi sn kiongoz na kupa Big up .up
  2. J

    Natoa bure shamba la kulima

    Nitafute kwenye namba yangu .kwa sasa hiv nipo kikaz .tuwasiliane kiongoz
  3. J

    Natoa bure shamba la kulima

    Ushauri wako ni mzuri sn .pale kijiji maeneo yapo mengi shida hakuna wakulima Hata mtu ukimpa shamba bure la kulima pale kijijin hakuna kiongoz
  4. J

    Natoa bure shamba la kulima

    Nina shamba lingine ndiyo nalima kwa sasa .nguvu ndogo kulima mashamba yote .hii ni fursa kwa yule anayejielewa na ni mkulima .
  5. J

    Natoa bure shamba la kulima

    Wewe cyo mkulima .subiri tu tukuletee chakula .hacha wale wanaotaka kulima .mtu atakaye lima mihogo deal kubwa sn .hata gharama zake zote za kusafisha shamba zitarudi na faida juu .shamba linakubari sn mihogo
  6. J

    Plot4Sale Viwanja vinauzwa Kibaha Town

    But bei ya sqm ya ardhi iliyopo singida na kibaha ni tofauti kbs sasa hiv pale karibu stendi ya mwendokas kibaha inaenda mpaka sh 30,000 kwa sqm
  7. J

    Plot4Sale Viwanja vinauzwa Kibaha Town

    Karibu ujione kama upo serous unataka kiwanja
  8. J

    Natoa bure shamba la kulima

    Kwan ukikodi shamba haulisafishi ??au kulilima ??
  9. J

    Natoa bure shamba la kulima

    Ndiyo tatizo la wabongo wanawaza yaliyo hasi .watu wanakodisha mashamba na wanalima bila was2 wowote .watu wanakodi mashamba,wanasafisha shamba na kulima ,sasa hapa shida ni nn hasa ,??mtu nampa alime bure ??c kodishi ??tatizo nn hasa ??
  10. J

    Natoa bure shamba la kulima

    si kodishi shamba la kulima.mtu anayetaka kulima nampa alime mazao ya mda mfupi kama mihogo ,mahidi .
  11. J

    Natoa bure shamba la kulima

    Habari, Namtafuta mtu anayetaka kulima shamba bure, lipo Masaki, Kisarawe. Linafaa kwa kilimo cha mihogo, mahidi, nampa alilime bure. Lina ukubwa wa hekta 2, lipo karibu na barabara. Contact: WhatsApp 0713 95 92 90.
  12. J

    Plot4Sale Viwanja vinauzwa Kibaha Town

    Vinauza viwanja kibaha Town, vimepimwa na vipo karibu na hospital mpya halmashauri ya mji Kibaha, mtaa wa Lulanzi na siyo mbali sana toka stendi mpya ya mabasi ya mwendokas Kibaha au stendi ya mabasi ya mikoani. Vina miundo mbinu ya barabara, umeme upo karibu na maji yapo karibu. Bei ni sh...
Back
Top Bottom