Recent content by jose majey

  1. J

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

    anza kunitajia NGO'S zilizo fungiwa Alaf Mm na valontia kwny kituo cha watoto yatima sijawahi kusikia habari ya kulipia kodi labda kituo gani ndugu huwa mnafanya hivyo
  2. J

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

    Kama watu wenye mapenzi na nchi yao hiyo ela kwa ajili ya kununua basi wangechangia TASAF uwasaidie maskini au kama hawana imani na taasisi za kiserikali wametoa kwny NGOs zinazo fanya kazi na jamii kwa ukaribu Ila mbongo ni kama Waafrika wengine na akili zetu zinafanana kwa sababu sisi wote...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Taja sifa za huyu professor mkuda unazozijua

    hii movie imefanya watu wengi waDiskoo chuo Wakiamini kwamba maisha ya kusoma ni mepesa mnoo Kumbe wahindi waliigiza tu
  4. J

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Printa

    Habarini wandugu!!! kama nilivyoandika kwenye title! Nahitaji printer inayo weza tumika kwaajili ya biashara printers iwe vigezo vifuatavyo 1 iwe laserjet printer 2 iwe colored 3 iwe na uwezo wa kuprint karatasi yenye grammate kubwa aina ya silk, mate na Glossy pia na karatasi za kawaida 4...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Nahitaji printa

    Habarini wandugu!!! kama nilivyoandika kwenye title! Nahitaji printer inayo weza tumika kwaajili ya biashara printers iwe vigezo vifuatavyo 1 iwe laserjet printer 2 iwe colored 3 iwe na uwezo wa kuprint karatasi yenye grammate kubwa aina ya silk, mate na Glossy pia na karatasi za kawaida 4...
  6. J

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Lowassa awataka Walutheri wampe Kura nyingi awe Rais wa kwanza Mlutheri

    ni kweli alichosem lakin watanzania hatuna siasa za kidin yeye n mgombea w kwanz kuonyesha hiloo
  7. J

    JamiiForums Tanzania Ana kwa ana na Dkt. Mwakyembe: Awashangaa Waliomuona yeye tu, Lakini wengine hawakuwaona!

    bado sijakuelewa umeongea nae mwakyembe kama rafiki au kama mwandishii wa habari? najinsi ulivyo andika inaonyesha kwambaa umeandikaa taarifa kamaa mwandishi wa habarii kwa mazungumzo ya kirafiki au ya kawaida ambayo siku zote ni yasiri haikutakiwaa wewe kuongea hivyoo au kuandika kama...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Ana kwa ana na Dkt. Mwakyembe: Awashangaa Waliomuona yeye tu, Lakini wengine hawakuwaona!

    ka iyoh alivyofanya lowwasa n sumaye siyo dhambii ingawa n wenyew walisalit ccm
  9. J

    JamiiForums Tanzania Umeambiwa, Lowassa ni muongo, tapeli, fisadi, na bado una mshabikia! Una matatizo makubwa

    libya walixema hivyo hiivyoh wakat wanamkataa ghadafii lakin leo hata ww unajua wana experience nn
  10. J

    JamiiForums Tanzania Diamond, ni nani kakwambia Sumaye na Lowassa ni kabila moja?

    kila mtu anahaki ya kuingia chama cha siasa anacho taka usanii au kazi unayo fanya haziwezi kuwa kizuizi cha kutimiza haki zako za kiraia lakin tatizoo wengii tumetekwa akili na siasa mbovu tunalazimishana kuamin vitu visivyo wezekana
  11. J

    JamiiForums Tanzania Usanii mpya wajitokeza Tanzania

    asantee ndugu umeliona hilooooo:A S shade:
  12. J

    JamiiForums Tanzania Haya mazoezi ya ndege za Kijeshi mjini (Dar) yanatia shaka kipindi hiki!

    kwa iyoh ww ulitaka wafanye mazoezi mda gan?:cool:
Back
Top Bottom