Recent content by jose lupembe

  1. jose lupembe

    Leo nazungumzia kifaa cha umeme kinaitwa motion detector sensor

    Fundi yoyote anaweza kufunga lakini kama hana uzoefu na hizo sensor itampa shida Kujitegemea switch siyo tatizo kwasababu ukifunga hiyo sensor switch muda wote zinatakiwa kuwa ON
  2. jose lupembe

    Leo nazungumzia kifaa cha umeme kinaitwa motion detector sensor

    SENSOR 50000 Contactor 45000 Hii itatumika kama current ya taa zako itakuwa kubwa Waya 20000 Labour charge 40000 kwa dar Jumla 155000
  3. jose lupembe

    Leo nazungumzia kifaa cha umeme kinaitwa motion detector sensor

    bro zipo ambazo taa pamoja na sensor complete 55000 watt 20 na 30watt 65000. Na kuna sensor peke yake ambayo gharama yake 60000 lakini unaweza ukatumia kwa taa nyingi. Sasa hapo kama kolido na chooni vipo karibu unanunua sensor moja
  4. jose lupembe

    Leo nazungumzia kifaa cha umeme kinaitwa motion detector sensor

    Hii ni sensor peke yake taa unatumia zilezile zilizokuwepo
  5. jose lupembe

    Leo nazungumzia kifaa cha umeme kinaitwa motion detector sensor

    Ni kifaa cha elektroniki cha usalama ambacho kinafungwa kwenye majengo mbalimbali ili kugundua harakati zisizoruhusiwa katika Maeneo haswa baada ya muda wa kazi. Kifaa hiki kinatumika katika maeneo ya biashara na makazi Kama vile kwenye majengo ya viwanda na jeshi Leo tunazungumzia jinsi gani...
  6. jose lupembe

    Jinsi ya kupunguza matumizi ya umeme nyumbani kwako

    Siyo uvivu brother ni inasaidia hata kupunguza matumizi ya umeme Mtuu taa za nje zinawaka mpaka SAA2 lakini ukifunga photocell automatic kunapopambazuka tu inazima
  7. jose lupembe

    Jinsi ya kupunguza matumizi ya umeme nyumbani kwako

    Nashukuru brother [emoji1545]
  8. jose lupembe

    Jinsi ya kupunguza matumizi ya umeme nyumbani kwako

    Habari ndugu jamaa na marafiki zangu wote Leo nataka tujifunze ufanyaji kazi wa photocell sensor switch pamoja na faida zake Photocell sensor switch ni nini? Ni automatic switch ambayo hutumika kuwasha na kuzima taa kwa kutumia mwanga na giza.. Ufanyaji wake wa kazi: Iwapo umezifunga...
  9. jose lupembe

    Jinsi ya kupunguza matumizi ya umeme nyumbani kwako

    Habari ndugu jamaa na marafiki zangu wote. Leo nataka tujifunze ufanyaji kazi wa photocell sensor switch pamoja na faida zake. Photocell sensor switch ni nini? Ni automatic switch ambayo hutumika kuwasha na kuzima taa kwa kutumia mwanga na giza.. UFANYAJI WAKE WA KAZI: Iwapo umezifunga...
  10. jose lupembe

    Jinsi ya kupunguza matumizi ya umeme nyumbani kwako

    1. Siku zote kumbuka usiibebeshe mzigo mkubwa socket au plug yako, hapa waliowengi hufanya ivo, unakuta point moja ya Switch socket imebeba Frige,Redio,TV,charger za kila aina,Pasi,blenda,heater. hili ni kosa Tunakushauri kutumia socket tofauti-tofauti ili kuepukana na hili tatizo. 2. Nunua...
  11. jose lupembe

    Jinsi ya kupunguza matumizi ya umeme nyumbani kwako

    Hawa wanapiga kelele tu hawajui lolote
  12. jose lupembe

    Jinsi ya kupunguza matumizi ya umeme nyumbani kwako

    Labda kunauelewa mdogo hapa kuhusi hili swala #Rohombaya: naona hujaelewa na hujui tofauti ya watt na voltage Umeme wetu majumbani tunatumia 220v na 380v hii ndiyo power input Tukija kwenye watt Watt nimatumizi ya kifaa unachokitumia kulingana na muda husika wa matumizi Mm natumia home...
Back
Top Bottom