Recent content by Joram Mtanzania

  1. Joram Mtanzania

    JamiiForums Tanzania Kuna hasara mashirika ya umma kwa kuwa hakuna uwajibikaji

    Na Tatizo ndo liko hapa, Yakibinafsishwa yanaweza kuleta tija tofauti na kuwa ya serikali
  2. Joram Mtanzania

    JamiiForums Tanzania Kuna hasara mashirika ya umma kwa kuwa hakuna uwajibikaji

    Na hio iko wazi, ni mara chache sana uikute familia iko na misingi bora kama wazazi hawajasimama kidete kutengeneza misingi hiyo.
  3. Joram Mtanzania

    JamiiForums Tanzania Kuna hasara mashirika ya umma kwa kuwa hakuna uwajibikaji

    Hili pia linaweza kuleta tija sana
  4. Joram Mtanzania

    JamiiForums Tanzania Kuna hasara mashirika ya umma kwa kuwa hakuna uwajibikaji

    Kiukweli Suala la maendeleo ya Taifa ni jukumu la hao viongozi walio katika nyazifa sisi kama raia ni suala la maendeleo binafsi tu, kama kuhakikisha unapata maisha mazuri kwa namna yoyote na uhakikishe familia haikosi kitu, ila tukija upande wa maendeleo kwa level ya kitaifa huwezi sema ni...
  5. Joram Mtanzania

    JamiiForums Tanzania Kuna hasara mashirika ya umma kwa kuwa hakuna uwajibikaji

    Kikubwa ndiyo ni kufumua yaani kupata nafasi ya kutengua kila kitu, shida ni hawa ambao wapo kwenyr system ndo hawatki kabisa mtu anayeonekana wamaana aingilie mambo yao, ndiyo maana wanafanya kila kitu kuweza kujilinda zaidi kila siku katika nafasi zao
  6. Joram Mtanzania

    JamiiForums Tanzania Kuna hasara mashirika ya umma kwa kuwa hakuna uwajibikaji

    CCM pale hakuna chama kama ilivyo CDM Tu, hata Watu wenye akili wanaelewa hivyo wote wapo kimaslahi ndiyo maana ikikuwa rahisi hata ACT kupata raia mapema maana wananchi wenyewe wamechoka dana dana za hivi vyama vikubwa. Wengi wapo kwa ajili ya kula keki ya Taifa na sio kuitengeneza ikawe chachu...
  7. Joram Mtanzania

    JamiiForums Tanzania Kuna hasara mashirika ya umma kwa kuwa hakuna uwajibikaji

    Hili ndo tatizo kutokana na uendeshwaji wake. Kuna Muda nawaza hata yakifanyiwa ubinafsishwaji inaweza kuwa na tija kuliko kuendelea kung'ang'aniwa na Serikali
  8. Joram Mtanzania

    JamiiForums Tanzania Kuna hasara mashirika ya umma kwa kuwa hakuna uwajibikaji

    Nadhani itakuwa best Mkuu option ikiendana na kuangalia namna hasara hiyo inaweza kufidiwa, maana ukisema kutumbua tu ni kama kazi bure maana itakuwa tayari kuna dosari
  9. Joram Mtanzania

    JamiiForums Tanzania Kuna hasara mashirika ya umma kwa kuwa hakuna uwajibikaji

    Kitu kikubwa nilichogundua ni kuwa, Namna pekee ya Kuyaokoa mashirika ya serikali yanayo andamwa na hasara kubwa ni namna ya kupata waendeshaji wawajibikaji. Imekuwa ni kawaida sana Kipindi hiki cha Uongozi wa Rais Samia Watu kubadilishiwa vitengo tu badala ya kuwajibishwa. Utakuta Kiongozi...
Back
Top Bottom