Recent content by joooh12

  1. J

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Hawa tcra na ewura sidhani kama wana safari sana haswa kwa level ya diploma, wenye safari labda inspectors
  2. J

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Aaaaah huu uzi unatembea sana unakaribia kuufikia ule uzi wa taasisi zinalozlipa vizuri tanzania
  3. J

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Changamoto hakunaga taarifa rasmi weng taarifa zao ni za kusikia, so hata ukisema akutajie mshahara wa hiyo taasisi hana taarifa za ukweli, hivyo tunabaki kusema tu kuwa hizi taasisi zinalipa vizuri bila kujua namba halisi
  4. J

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    Hapana sio tamisemi... taasisi km tpa, ucsaf, pura, ewura, tpdc, tcaa
  5. J

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Hello, Hivi barua uliyopokea imeandikwa uhamisho au imeandikwa kuazimwa...? Na barua ilipotoka utumish kwenda ofisin kwenu imechumua mda gan kuhamishiwa taarifa zako kwenda taasisi mpya
  6. J

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Mbona kuna taasisi bora tu kwenye huo mkeka
  7. J

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Aisee kumbe kulikuwa na nafasi tena taasisi nzuri tu Latr, taec, ewura, stamico
  8. J

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Kwa level gan.? degree basic 1.8, ukiweka na posho na kila kitu take home haizidi 2.5
  9. J

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Katika hizi ni tanesco tu ndio pazuri
  10. J

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Unataka kwenda wapi kati ya haya matatu
  11. J

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Yes mtu wa ict level ya diploma lakini
  12. J

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Hapo changamoto ni kujua hizo sehemu maana watu wengi unakuta wanatoa story za uongo kuhusu hizi taasisi kwa sababu nao hawajui ukwel
  13. J

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Maana pia kuna story nyingi sana zinasemwa kuhusu tpdc wanapewa sifa sana kuwa wao ndio namba 1 tz
Back
Top Bottom