Asante chadema kututetea zidi ya hawa viongozi wakandamizaji na vibaraka wa ssm, Hivi mbona ile issue ya DC aliyewachalaza walimu viboko ssm hawakuishabikia hivyo!......... jamani wananchi tumeamka, hamtuonei tena!.... Chadema songa mbele hata ikibidi kushusha kipondo kwa Raisi!.....
Rejeo
Kama kweli nape alikua anayajua hayo anayoyasema sasa kwa nini alimwita RA gamba na kumshurutisha kwamba atoke kwenye chama.
Watanzania wa leo si watoto wadogo, hapa inaonyesha wazi jinsi gani ssm ina uchu na madaraka.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.