Recent content by Jondi

  1. J

    Ajira za TANAPA

    Binafsi naomba kujua ukiomba kazi sehemu, kwa kawaida huwa inachukua muda gani kutoa majibu ya watu waliochaguliwa kwa ajili ya usaili??
  2. J

    Ajira za TANAPA

    Wakuu habari za majukumu, samahani sijapata uhakika wa swala nililouliza
  3. J

    Ajira za TANAPA

    Oooh! Kumbe ndiyo hivyo
  4. J

    Ajira za TANAPA

    Sawa mkuu, nashukuru
  5. J

    Ajira za TANAPA

    Naomba kujua kuhusu shortlist za Tanapa zinachukua muda gani kutolewa na ni wapi pa kuzipata?
Back
Top Bottom