Ukitaka kujua TIGO ndio mtandao unaohitajika kwa kila mtanzania, pamoja na promotion zote zilizopo, xtrema sms, voice xtreme, xtreme sms ucpime, etc. lakini bado mtandao unadunda tu! Hakuna network erroe wala pending request! Hata hivyo, matatizo ya mtandao ni jambo la kawaida na kabla hujaamua...