Recent content by Jollyjully

  1. Jollyjully

    JamiiForums Tanzania Naomba nishaurini kuna mapenzi hapa

    Kiukwel inachosha sana kila siku wewe ndo uwe unamfuta mtu yeye kuja hapana na wanaume wengine wanakaa kwenye getto zao bas kila siku we ndo kiguu na njia km una akili timamuu lazima ujistukie...uyo dada ana akili kastuka sasa wewe mtoto wa watu aje kwenu tena kwa baba na mama jiongezeeee...try...
  2. Jollyjully

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanawake sijui wanachukulia vipi maisha

    Nimejifunza kitu kwakweli...wakati mwingine sisi wadada tunapendaga sana maisha ya maigizo ebu tulia ukimpata akupendaeee.
  3. Jollyjully

    JamiiForums Tanzania Ulimpataje mwenza/mchumba/mpenzi wako?

    Nilikutana nae kwenye getto lake nilienda kumuona na best angu alikuwa anaumwa nilikuwa ata simjui ila kwa sasa ndo "future husband if God wish"
  4. Jollyjully

    JamiiForums Tanzania Mwanangu ana miaka 6 lakini huwa ananishangaza

    Mi naona hii utasaidia maombi ndo kilakituuu
  5. Jollyjully

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje: Jobless wa kitanzania kufanya harusi ya mil.20

    Mggh...kiukweli ni kitu cha ajabu
Back
Top Bottom