Habari zenu jamani
Mimi nimwanafunzi nilie maliza form four mwaka wa Jana nilimpata division III ya 24 selection zilivyo toka nimepangiwa nikasomee iyo kozi hapo juu katika chuo Cha Korogwe teacher college Sasa nilikuwa na uliza je naweza kupata mkopo wa heslb
Habari zenu jamani
Mimi nimwanafunzi nilie maliza form four mwaka wa Jana na nilimpata three ya 24 selection zimetoka mwaka huu nimepangiwa nikasomee uwalimu wa sekondari ngazi ya diploma wa masomo ya sayansi (chemistry na mathematics).
Halafu Kuna mtu kanishauri niachanana uwalimu nikasomee...
Habari zenu wapendwa mimi nimemaliza form four mwaka wa jana matokeo yametoka mwaka huu sasa nilikuwa na omba kuuliza kwa matokeo haya naweza kuchaguliwa kidato cha tano katika shule za serikali na kama ndio kwa combination gani ? matokeo yenyewe ni MATHEMATICS (C) , CHEMISTRY (C) , BIOLOGY (C)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.