Recent content by johye

  1. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali

    Bila shaka mtakuwa mpo wazima kuna tatizo linanitatza sana nimeleta kwenu mnipe mawazo cha kufanya. Nina girlfriend wangu tupo muda mrefu sana na nina malengo, baada ya kumaliza chuo alikuwa bado hajapata kazi, mambo yake yote nilikua namtimizia, kwa bahati mbaya simu yake ilialibika ghafla...
  2. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simulizi: Penzi zito

    nzur sana!! aisee
Back
Top Bottom