Recent content by Johnson_09

  1. J

    KERO Wakazi wa Kata ya Iyela, Mbeya tunateseka! Wiki mbili sasa mabomba ya maji ni makavu, bomba kubwa limepasuka mwezi wa tano sasa

    Habari wakuu wa JamiiForums, Naomba kuleta kilio kizito cha wakazi wa Kata ya Iyela, Jijini Mbeya, hususan katika mitaa inayozunguka Shule ya Sekondari Samora Machel, Shule ya Kivukoni, pamoja na Mtaa wa Kamficheni. Kwa takribani wiki mbili na zaidi sasa, wakazi wa maeneo haya tumekosa kabisa...
Back
Top Bottom