Recent content by Johnson jojojo

  1. Johnson jojojo

    Wananchi waendelea kupatiwa msaada wa Kisheria kupitia Kampeni ya Mama Samia Legal Kampeni

    Ndoa yangu imevunjwa lakini mali tulizo chuma nimeambiwa nimeshindwa kuonyesha mchango wangu baada ya mke kuficha nyaraka na kusema mali ni za ndugu yake bila uthibitisho wowote na sina uwezo wa kuweka wakili wa sijui rufaa inaazia wapi na nimevakiza siku 21 tu kukata rufaa na huku nimefungwa...
  2. Johnson jojojo

    Nina kidonda ambacho kilianza kama kipele kinacho washa sana, baadaye vikaongezeka nakuwa kidonda

    Nimerudi hapa kwashukuru wote mlio poteza mda wenu kwa namna mija au nyengine kwa kunishauri. Ni muda umepita na nimepata matibabu baada ya kumuona daktari kisha akanipa dawa ya kufunga aina ya povido nikafunga baada ya Siku mbili tu niliona mafanikio nashuku naendelea vizuri
  3. Johnson jojojo

    Nina kidonda ambacho kilianza kama kipele kinacho washa sana, baadaye vikaongezeka nakuwa kidonda

    Nina kidonda ambacho kilianza kama kipele kinacho washa sana baade vikaongezeka nakuwa kidonda kinacho toa majimaji hakiumi ila kinawasha, nimeenda hospital last month walinipa dawa dozi ya vidonge 30 ila vimeisha tatizo bado, msaada wenu wana jamii kwa mwenyekuweza kunisaidia plz.
Back
Top Bottom