Recent content by johnQ

  1. J

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    kwenye rav4 za mwaka 2000-2005 4WD zote ni zina D4 engine na 2WD zote zina vvti engine
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    kwenye rav4 za mwaka 2000-2005 4WD zote ni zina D4 engine na 2WD zote zina vvti engine
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Wadau wa magari hivi kati ya Rav4 yenye 1800cc 2WD vvti na Rav4 yenye 2000cc 4WD D4 engine ipi ni nzuri zaidi maana nina mpango wa kuchukua moja
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    nahisi gari yako itakuwa inatumia electric power stering na sio hydraulic power stearing ukienda garage wakuchekie hata mwenyewe unaweza kuchunguza kwenye dashboard kama ukiweka on inawaka taa ya EPS ujue una Electric Power Stearing (inatumia umeme)
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    yap kama haina deep stick hiyo ni cvt transmission na inatumia oil maalum ya cvt usiweke transimission oil ya kawaida itaua hiyo gearbox ukipeleka garage utafahamishwa
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    hiyo ni cvt transimission je gari yako ina km ngapi?
  7. J

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    na mi naomba kuuliza kuhusu engine oil nna gari yangu toyota raum 2005 model ndo imefika toka japan ina engine ya 1NZ-Fe 1498cc nataka kubadili engine oil kwenye manual book wamerecommend 5W-30 ambayo nimetafuta dar nzima hakuna, mafundi wengi wameniambia niweke total au castrol 20W-50. Je hii...
Back
Top Bottom