Recent content by johnny68

  1. J

    Kuhusu Student Verification kwenye NACTVET

    Samahani wakuu, Sisi ni wanafunzi tuliomaliza chuo cha kati mwaka wa tatu, Ningependa kuuliza kuhusu suala la Submitted na Confirmed maana tuliambiwa kuwa ukiandikiwa Confirmed ni kuwa huna supplimentary yoyote na ukiandikiwa Submitted ni kuwa una supplimentary, repeat module au disco...
Back
Top Bottom