Jana nilicheza basketball nikachanganya na ice hockey nikatia formula one nikatia na handball mix baseball na rugby kwny mkeka mmoja hiyo mida ya saa saba usiku hapo nipo mtupu wife kashanichosha nikatia 30 ikasoma 270 nikamkumbatia wife nikambusu paji LA uso kisha nikamwambia nakupenda sana na...
Kweli mkuu ww mpambanaji yani charge asilimia moja ila bado unamsaka tu muhindi kwa live bet[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] na kakuogopa ndio maana server ipo chini ukona umemkamia sana usije ukamuua bure ni sawa upo vitani maadui wamebaki 20 na ww umebakiza risasi moja ila bado...
Wakuu mpo?? Ckumbuki mara ya mwisho kumla muhindi ni lini jmn yani cku hizi anavyonipa za uso mpaka ndotoni namuota... pls nisaidieni jmn na cwezi kuacha kubet
Wakuu nimekuja kugundua kuwa kubet kumbe no sawa na mchezo was vikoba unavyoliwa ndio kuwekeza huko amini IPO cku kaji atazirudisha hela zako zote na faida juu mm kesho nitatuma ushuhuda wangu jamaa kanirudishia pesa tote toka nimeanza kubet. Week nzima mm naimba tu nyimbo ya JOEL...
Hivi mnaonaga kubet sio kazi eeeehhh?? Sasa kwa taarifa yako kubet ni kazi tena ngumu kuliko hata kuwa jambazi..kilimo cha mkono...kuwa mchawi ...kubeba magunia sokoni... Kulala na mwanamke umfikishe kileleni... yani ni kazi nguma cjapata kuona mpaka umle kanji we jua umefanya kazi kubwa sana...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji28] [emoji28] sema mkuu cku nikutafute tupige fainali ya watu wawili tu tukumbushie enzi au sio??[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] maana nimeimiss kinoma nikionaga zile karata tu mwili unasisimka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji28] [emoji28] [emoji28] usinichekeshe mm nimeipiga sana wakati nipo chuo achana na chafu tatu bora tuendelee tu na kanji nakumbuka kuna cku wahuni walikuja kuchezea game kwangu nilikua kama na one milion za ada ziliisha zote wakala kitanda wakala...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mm nimejikuta nacheka huku machizi yananilenga si jana bhana nilimuotea kanji laki na nusu nikampania leo lazima nipate milion 2 kwa hii laki na nusu hahahaaaaa kumbe alikua ananichora tu niingie kichwa kichwa na kweli nikaingia kama lingo'mbe...
Duuuuhhh noma hapo mr.Q ww ucngeweza kubet hivyo hata cku moja na sisi wajuaji kanji ndio anatupenda kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] akiona umekaa cku 3 bila kubet unakuta kakutumia bonansi ya free bet ili urudi tena mamaeee... Yani kubet ni sawa na madawa ya kulevya ukisema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.