MU
Usirudi nyuma yaliofanywa yamefanyika ili tukate tamaa kudai haki zetu za msingi , wanayafanya wakijua wengi hawana elimu na walio na elimu watarudi nyuma tuu ...
haswa si sasa mikopo imekuwa ya kulenga na manati wakati aliahidi kutoa mikopo kwa wanafunzi wote.
imefadhiliwa serikali na katiba hii ni kwa maslahi mapana ya ccm
Watu wanakaa na kufikiri na kwaaslahi mapana ya TAIFA wanajaribu kututoa tulipo lijitu tuu linakurupuka kwa maslahi yake .... Na umasikini wetu mkubwa ni elimu so liache mkuu
Taifa linapitia kipindi kigumu mno kiuchumi na kidemokrasia, Washika kalamu kufikisha ujumbe wanakamatwa wanafungwa au kuteswa kwa makosa ya mitandao ya kijamii huku yeye akiomba malaika washuke wafungie mitandao ambayo ni mfumo huru wa kufikisha ujumbe. Leo Watanzania hawajui nini dira ya...
You too selfish that only word I can, the same as in campaign Edward Lowassa should sleep while mbowe and slaa have to promote the candidate which is big wrong.
Urais ni swala la wananchi si la chama waache watanzania wamnadi Edward Lowassa bila kujali Makundi yao.
Ushauri usigawe kura hayo...
TAARIFA KWA UMMA
Habari, leo saa tisa Alasiri (03:00 PM ) Mh Edward Lowassa Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Atarudisha fomu ya kugombea Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA).
Tukio hili litafanyika katika Ofisi kuu za Chama Dar es Salaam, Kinondoni Mtaa wa Ufipa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.