Habari za humu mjengoni,mimi nna mpenzi wng tuna mwaka na nusu sasa ila ktk hz cku za karibu aliniambia anaumwa na shingo af alikuwa anakohoa kiasi pia na mimi nlikua nahc maeneo ya mkono wa kushoto misuli inaniuma kiasi... Sasa hp cjaenda kupima lkn nna wasi wasi sana mawazo mia! Naomba ushauri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.