nilikwenda bro tena nilichaguliwa PGM but ile nakaribia kuingia six nilipata majanga nkaumwa nilikaa nje almost mwaka na mpaka kupona hali aikua nzuri nilishauriwa kutosoma vitu vikubwa kama hvo vinavyohtaji kutumia akili sana hvo nlikaa tena miezi sita kurud kama awali ndo apo ikabid nsikpuuzie...
Habari wakuu,
Mimi nina umri miaka 24 elimu yangu ni kidato cha nne nilipata division 2 nina basic Technician Certificate in Computer science hivo naomba mweny kibarua tusaidiane kuinuana kazi yoyote nipo dar gongo la mboto asante natanguliza shukrani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.