Recent content by joahphina

  1. J

    JamiiForums Tanzania KERO Platinum Credit wananizungusha kunipa barua yangu ya settlement nifunge mkopo wao

    Wakuu naomba ushauri kwa aliyewahi kupitia hali kama yangu. Nimekuwa nikifuatilia settlement/payoff letter ya Platinum Credit tangu 10/08/2026 kwa ajili ya kulipa na kumaliza deni langu. Nimefuata taratibu walizonielekeza, nimejaza fomu na kulipa processing fee, lakini nimeambiwa nisubiri...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu platinum credit – settlement letter

    Wakuu naomba ushauri kwa aliyewahi kupitia hali kama yangu. Nimekuwa nikifuatilia settlement/payoff letter ya Platinum Credit tangu 10/08/2026 kwa ajili ya kulipa na kumaliza deni langu. Nimefuata taratibu walizonielekeza, nimejaza fomu na kulipa processing fee, lakini nimeambiwa nisubiri hadi...
Back
Top Bottom