Hapo kwenye server side lang chukua python au ruby on rails zko fit kwamfano python inatumiwa na instagram na ruby on rails inatumiwa na github kwenye, kwenye lang ya app java ndo kila ktu ila kama unatka kudevelop hybrid apps yan app moja ifanye kaz kote tumia lang.mpya inaitwa angularjs ni...
Swala la kutumia API ni ngumu kdgo... ila kuna plugin haswa za wordpress zinazoweza kudeliver notification to subscribed topics... mkuu mambo uliyotaja hapo yote yanawezekana hata na hzi small resources tulizo nazo... point ni kwamba hawaoni mbali
Yes, hlo ni tatizo sana... ila kwa kuongezea mm naona shda ya yahoo ni kwamba ili lack the so called hacker culture. Kwa ufup hacker culture ni mtindo wa kuanzaisha kampun wa silicon valley yaan kampuni za tech huko SV zna focus sana katika its core product and making sure they do things very...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.