Recent content by jmum

  1. J

    Biashara ya Uokaji (Bakery): Mbinu, Ushauri na Changamoto Zake

    Millioni 1 na nusu haiwezi tosha. hiyo labda just kwa matumizi ya nyumbani. ila kwa biashara inaweza chukua mpaka 12Million
  2. J

    Biashara ya Uokaji (Bakery): Mbinu, Ushauri na Changamoto Zake

    Arusha ndo makazi na nataka kufanyia hiyo project huko
  3. J

    Biashara ya Uokaji (Bakery): Mbinu, Ushauri na Changamoto Zake

    Hello Ndugu zanguni, Nimekuwa na ndoto ya kuanzisha au kufanya project yangu ya kufungua a small and good bakery, kwa ajili ya only cake designing and decoration. Naomba mnipatie idea mbali mbali za vifaa ambavyo ni muhimu, kwa ajili ya kuanzisha huu mradi wangu. Na naweza pata wapi hivyo...
  4. J

    Biashara ya kutengeneza na kuuza "Askrimu" (Ice Lollies)

    Nimependa hii Ice cream maker. Kwa TZ huku zinapatikana wapi?
  5. J

    Biashara ya kutengeneza na kuuza "Askrimu" (Ice Lollies)

    Thanks. Naweza pata vipimo unavyotumia, mfano maji kiasi gani? ubuyu kg ngapi, unga kiasi gani, n.k
  6. J

    Biashara ya kutengeneza na kuuza "Askrimu" (Ice Lollies)

    Ameir, naomba nipatie ujuzi kutoka kwa UNCLE basi
  7. J

    Biashara ya kutengeneza na kuuza "Askrimu" (Ice Lollies)

    Nsemwas Junior, Hello, ushafahamu jinsi ya kutengeneza hizi ice cream? Mi binafsi natafuta ujuzi huu, ila bado sijapata kufahamu.
Back
Top Bottom