Recent content by Jm James

  1. J

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hii option ina asilimia kubwa kuwin
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hakika Leo group Liundwe ni wakati wa kufanya kwa vitendo wakuu
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mzee watu wanasubiri roll over
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkiwa mnaenda kulala leo,kesho Pesa ya supu hii hapa
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hakika maana sportbet ni nzuri kwa ajiri ya matreni ila mrusi kumpiga kutafuta fedha taratibu za mitaji Anafaa maana option za kibabe na percent, za kula ni kubwa na ukicompare na sportbet
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    😂😂kaka nakufatilia sana mzee,we shusha nondo,watu wanaona japo wanajifanya Hawatoi reaction ila wanakufuatilia Chin kwa chini
  7. J

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sportbet ni wazuri kwenye cash out japo machaguzi mengi hawana,me Nashauri percent kubwa ya kula tumieni kampuni za kirusi,maana wana option nyingi na matukio mengi
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Haina noma sema ulipotea uzi huu ukapoa kishenzi A
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    😂😂😂 kaka mimi nipoo naisubiri hiyo roll ova
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Unda group kaka,share na link humu
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jana Nimewakosa nba zilikuwa odds 17,ila nilikuwa natest mitambo
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sio poa mkuu,hatumsindikizi mtu kwenda kwenye utajiri😂😂
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkali Wa hizi kazi
  14. J

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kitambo Kaka Ila nataka nianze,Hebu nipe no yako inbox kaka kapo mm sio mjuzi Sana lakin basketball kuna pesa nyingi ukituliza kichwa
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kaka nakubali basketball Sana hasahasa za live,kuna pesa nyingi ukiwa makini lakini football uhuni ni mwingi
Back
Top Bottom