Recent content by jksang

  1. J

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kiza chazidi kutanda, walimu walia na madaraja 2025 vigezo vya PEPMIS vimeacha maumivu kwa baadhi ya watumishi katika kupanda madaraja

    KIZA CHAZIDI KUTANDA, WALIMU WALIA NA MADARAJA 2025 VIGEZO VYA PEPMIS VI Changamoto ya kupanda madaraja kwa watumishi wa serikali imekuwa sitofahamu, ijapokuwa kwa kiasi flani serikali imewezesha baadhi ya watumishi kupanda na wengine baadhi kuachwa kwa sababu zile zile za kimfumo ambazo bado...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Matamko ya CWT kuhusu Mfumo wa PEPMIS yanatuchanganya, Serikali iweke wazi kuhusu upandishaji wa madaraja ya Walimu

    Napenda kuwasilisha waraka huu nikiwa miongoni mwa Walimu wengi nchini ambao wameathirika kwa taarifa zinazotolewa na Chama chetu kuhusu utaratibu wa kupandishwa madaraja kwa kutumia Mfumo wa Public Employee Performance Management Information System (PEPMIS). Hivi karibuni, CHAMA CHA WALIMU...
Back
Top Bottom