Recent content by jk_watatu

  1. jk_watatu

    Mke wa pili anahitajika, awe mfanyakazi wa serikalini

    Sina mambo mengi ndugu zangu, nadhani kichwa cha habari kinaeleweka. Mimi ni mume wa mke mmoja na watoto kadhaa na tunaishi kwa upendo na amani kabisa na familia yangu, ila nahitaji mwanamke ambaye amechoka kurukiwa rukiwa hovyo na kuachwa ili nimuoe awe mke wangu wa pili. Kigezo awe...
  2. jk_watatu

    Nahitaji mwanamke ambaye ni askari(Jeshi la Wananchi TPDF au Jeshi la Polisi) awe mke wangu

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbona mnaogopa sana wanajeshi
  3. jk_watatu

    Nahitaji mwanamke ambaye ni askari(Jeshi la Wananchi TPDF au Jeshi la Polisi) awe mke wangu

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Shabiki wa konde boy jeshi
  4. jk_watatu

    Nahitaji mwanamke ambaye ni askari(Jeshi la Wananchi TPDF au Jeshi la Polisi) awe mke wangu

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]karibu
  5. jk_watatu

    Nahitaji mwanamke ambaye ni askari(Jeshi la Wananchi TPDF au Jeshi la Polisi) awe mke wangu

    Acha woga ndugu yangu na wao ni binadamu wanahitaji wenza,Wacha niingie huko nione.
  6. jk_watatu

    Nahitaji mwanamke ambaye ni askari(Jeshi la Wananchi TPDF au Jeshi la Polisi) awe mke wangu

    Hii ni kwa wanawake tuu yani wanaume haiwahusu: Nahitaji mwanamke ambaye Mungu akipenda ndiye atakuwa mke wangu. Njoo PM kama ni muhitaji nitumie sms huko tukielewana utapata namba zangu za simu nami nitapata zako. Sifa zangu: Dini: Mkristo Umri:35 Elimu: chuo kikuu(masters) Kazi: Ni muajiliwa...
  7. jk_watatu

    Nipo serious sana katika hili, nahitaji mwanamke atakaye kuwa mke wa maisha yangu

    Kwa nini watu hawapo serious jamani!! Wengine tukitoa tangazo mjuwe tumemaanisha.
  8. jk_watatu

    Nipo serious sana katika hili, nahitaji mwanamke atakaye kuwa mke wa maisha yangu

    Karibu tuu tunaweza tukazungumza na yakakaa sawa tukaendelea na maisha.
Back
Top Bottom