Recent content by Jiwon kim

  1. Jiwon kim

    Naombeni ushauri kwa course hizi na vyuo

    Habari wakuu, Mim nimemaliza kidato cha 6 mwaka huu comb ya CBG, nimepata hivi: Chem D Bios E Geo D Nilikua nauliza: Je, naweza somea (IT na Environmental Science) pya msaaada course zingine mnazozijua wakuu na vyuo pya ambavyo naeza enda.
Back
Top Bottom