Upo sahihi kabisa, Ila ndo umepima umepata mojawapo ya code kama hizi
p0011 mpaka p0021, p0171 mpaka p0174, p0300, p0190 mpaka p0193 na zingine kama hizo…
Nakuapia hiyo mashine yako utaificha hata fundi wako asijue kama unayo….
Shida ni spark plug... hizo engine zinataka plug ambazo ni double iridium tena ziwe original otherwise utafunga plug utaona gari imepona halafu baada ya muda mfupi ugonjwa umerudi tena.
Plug original ninazo warranty 30000Km zimebaki sets 2 muda na saa yoyote zinaisha. Mpaka baada ya week 2...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.