Mhe Col FabianMassawe aliyekua RC KAGERA anarudishwa Dar Es salaam Lazima watu wanyookee mwana jeshi Yule aliondolewa KAGERA Kwa kashfa za kagasheki sema alicha mkoa KAGERA ikiwa safi Na watu walinyooka
Kaka hata Mimi nimeshawahi kufanya usafi mkoani KAGERA tulitolewa maofisini kufanya usafi. Yeye mwenyewe akiwa mstari kwanza. COL MASSAWE aliacha jina mkoani Na Bado anauwezo wakupewa wizara
Haha ndugu unasema MASSAWE MZEE wakagera wanamjua Na wahamihaji haramu walisoma Number aisee alikua tough sana KAGERA ilikua safi sana. Magufuli alikuja KAGERA akasema mbele yake tunaitaji wakuu wa mikoa Watano tu Kama yeye wakati akiwa Bado RC KGR.
MAGUFULI!! Tunaomba upatie KANALI FABIAN MASSAWE wizara yoyote sana sana ELIMU kwani ameshakua mkuu wa shule JITEGEMEE JKT WANAFUNZI WALISOMA NUMBER. Akajakuwa RC KAGERA WANAKAGERA WALIMKUBALI SANA. Mkoa ulikua msafi sana PLEASE IF WE NEED CHANGES WATU KAMA FABIAN MASSAWE NDIO WANAMFAA RAISI...
Raisi magufuli mkumbuke RC KAGERA COL Fabian Massawe Yule afande anakufaa sana kwenye serekali yako Kama waziri Ulinzi Au Elimu nakumbuka jinsi gani wana KAGERA walivyo lia baada mkwere kumuachisha kazi. Bila kosa lolote. Aliacha KAGERA Na usafi kama Rwanda.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.