1.Mitaa inayonifaa ni Mbezi Louis na Msigani.
2.Nyumba isiwe mbali na kituo cha daladala.
3.Umeme wa kujitegemea.
4.Maji yawepo.
5.Kodi nina Tsh200,000/= kwa mwezi, niko tayari kulipa miezi sita.
Wanajamiiforum ni imani yangu muwazima wa kama sio hivyo basi tuombeane.
Nahitaji mkopo wa 300,000/= nikae nao miezi mwili na marejesho yawe 500,000/= tarehe 31/08/2019.
Mambo ya riba mkopeshaji unaweza kupanga upya.
Kuhusu dhamana na kufahamiana zaidi njoo PM.
Napatikana Dar es Salaam
1.Chumba Ubungo Maziwa Tsh60,000 miezi sita.
2.Chumba karibu na Mabibo Hostel Tsh50,000 miezi sita.
3.Chumba na sebule Riverside Tsh100,000 miezi sita.
Nyumba na chumba cha kupanga karibu na Mabibo Hostel,njoo upange kwa gharama nafuu. - JamiiForums
Kuonyeshwa na dalali ili kuona vyumba sio...
Umejuaje kuwa kati ya mimi nawewe nani umaskini unamtesa.
Unakisia tu bila kulinganisha kipato changu na chako.
Sijakulazimisha kuja kuangalia ni hiari yako.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.