Recent content by jimmyjoseph

  1. jimmyjoseph

    Skateboard, Scooter and Roller skate zinafanyika wapi Dar-es-Salaam?

    Shukrani sana kaka .kuna sehem nyingine? Na je ni muda gani huwa wanafanya huo mchezo?
  2. jimmyjoseph

    Skateboard, Scooter and Roller skate zinafanyika wapi Dar-es-Salaam?

    Ngoja tuwasubiri watuambie maana nahitaji kujua machimbo yao
  3. jimmyjoseph

    Skateboard, Scooter and Roller skate zinafanyika wapi Dar-es-Salaam?

    Hakuna open space yoyote ambapo wapo like barabarani ambapo officially nikitaka kuwapata naweza kuwakuta
  4. jimmyjoseph

    Skateboard, Scooter and Roller skate zinafanyika wapi Dar-es-Salaam?

    Ni sehem gani kwa Dar es Salaam hii michezo kaama skateboard, scooter, roller skate au biking inafanyika na kama kuna vikundi, organization na sehem wanako patikana na sehemu ambazo huwa wanafanyia michezo hio?
Back
Top Bottom