Vimepimwa na vija hati
Ukubwa : 20 kwa 23m
Bei : 7M ( maongezi)
Huduma: maji, shule na umeme.
Umbali: 3Km kutoka lami, na Vipo pembene ya main road (rough road)
Kuona site ni bure kabisa.
Nipigie 0620175964
Office Yetu Ipo ubungo plaza ( Katambe street).
Hivi viwanja vipo kigamboni sehem inayoitwa Mbutu.
Ukitoka ferry ni 17 km. Magari unapanda ya Cheka unashuka kituo kinachoitwa Dege.
Habari, Kuna mradi wa viwanja vya Bei nafuu kigamboni, Moja ya sehem zinazokua kwa Kasi sana. Kuna kampuni ya property investors company Ltd Ina mradi mkubwa wa viwanja Mbutu na Cheka Kigamboni.
Unaweza kununua kiwanja Cha milion tatu na laki nane, ukajenga na kupangisha au kiwanja Hicho Hicho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.