NACTE na HESLB, mbona hampokei simu wala kujibu barua pepe? Kama huduma hizo hazitumiki, ni bora mziondoe kuliko kuwaacha wananchi wakipoteza muda wakijaribu kuwasiliana nanyi bila mafanikio.
Naomba kufahamu kama kuna tofauti yoyote kati ya Ordinary Diploma in Medical Clinical Officers na Diploma in Medical Clinical Officers.
Pia, je, HESLB inatoa mikopo kwa wanafunzi waliohitimu kidato cha nne pekee wanaotaka kusomea kozi za afya?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.