Recent content by jikomboe

  1. J

    JamiiForums Tanzania GE2010 Mdahalo wa wagombea urais 2010

    Kama Tume ya Uchaguzi ni mali ya CCM kuna sababu gani ya kufanya usanii wa ndhahalo kwenye Uchaguiz Mkuu wa 2010. Kwani ushindi wa kishindo wa asilimia 92 wa CCM kwenye uchaguzi wa serikali za Mitaa ulihitaji mdahalo. Si vyama ni hivyo hivyo na watu ni wale wale. Uchaguzi wa Tanzania ni Igizo...
Back
Top Bottom