Hata Tume ya vyuo vikuu TCU na bodi ya mikopo imeungwa na NIDA sijui kwann wamekataa CCM haijaungwa wakati unapojisajili online katika chama cha mapinduzi wanataka uingize namba ya kitambulisho cha nida
Usinikumbushe hao wapuuzi niliagiza taulo mtandaoni wameweka picha kubwa bei 135000 pea tatu,
Ebwana waliponilea vitaulo havitoshi hata kiunoni ni vidogo kama enkachifu.
Kwakweli inaumiza sana na inakera
Mimi siyo mtaalam kwahiyo design life span ikifika inakuwa specifiki Kwa jambo moja la kuzuia STEP TU?
Mbona maelezo yana ukakasi! Inakuwaje STEPU ziwe tishio hivyo jombaa!
Naona wee unasimulia mambo ya vitabuni na jamaa anaelezea mambo ya site.
Lakini kuna kitu kipya hapo kaongezea je ni kweli baadhi ya nchi zinaweka mabango ya kuzuia kupita kwa stepu?
Kama ni kweli hauoni hoja yake jamaa itakuwa sahihi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.