Recent content by jichawi

  1. jichawi

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Hapo kuongeza neno ni sawa na kufundisha uchawi......nadhani mbinu bora ni zile za kujinasua kuliko kutega.
  2. jichawi

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Hapo raha mustarehe.....
  3. jichawi

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Darasa ni zito kwa kweli maana Mtu mzito anaonyesha upeo mkubwa sana na hata kuweka wazi yale ambayo ni ya ndani sana......kila anapojibu natafuta walau kwenye pengo niongezee lakini nakuta amejitosheleza.
  4. jichawi

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Hakika mkuu, maana kufumba macho sio njia ya kukwepa ngumi za uso...
  5. jichawi

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Hakika Mtu mzito......sio mchezo
  6. jichawi

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Utashangaa asubuhi unakwenda fuata gari ukatafute riziki ila bosi anakwambia gari hii leo haitoki japo ni nzima
  7. jichawi

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Naam hii ni hatari sana japokuwa mtu akimudu huonekana shujaa lakini risk ni kubwa mno, utibabu huu mara nyingi wakati wa kukabidhiwa mkoba unafichiwa tunguri kwanza na ukihangaika na kujua ilipo......huonekana tayari umewiva.
  8. jichawi

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Nipo mkuu na naona umahiri mkubwa ulionao ndani ya sayansi hii nyeusi, unajibu maswali ya kila namna tena kwa ustadi mkubwa kiasi cha kutosha kabisa, nipo na nitaweka neno wala usitie shaka
  9. jichawi

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Nipo mkuu napata darsa hapa
  10. jichawi

    Somo la kitunguu saumu: Nguvu yake, tiba na maajabu

    Katika kusuka makombora yetu ya kiswahili pia kina msaada mkubwa
  11. jichawi

    Mawasiliano ya kiroho katika milango nane ya fahamu

    Darasa murua kweli kweli ngoja nivute kigoda
  12. jichawi

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Kila nikipitia maswali na majibu humu najihisi nipo nyumbani, darasa zito kweli kweli na kila kitu kiko sawa
  13. jichawi

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  14. jichawi

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Hakika mkuu......hii imerahisisha kazi zaidi na mimi nimekaa kitako kuweza kufuatilia mambo yetu, furaha yangu ni kuona kuna majibu na maswali yenye staha na hakuna malumbano.
Back
Top Bottom