Recent content by Jibu

  1. J

    Shule nzuri kwa olevel iringa

    Nawashukuruni wadau wote hapa na kijana nimempeleka pale Ruaha sekondari iringa mjini.
  2. J

    Nauza sofa na stand ya Tv flatscreen

    unapatikana wapi nahitaji hiyo sofa
  3. J

    Naombeni sili ya mafanikio.

    hakuna linaloshindikana, jiwekee mikakati na umtangulize mungu
  4. J

    Shule nzuri kwa olevel iringa

    Ni shule ipi ya binafsi ungenishauri nimpeleke mwanangu Iringa mjini kwa kidato cha kwanza 2014? zingatia pia maadili siyo ufaulu tu.
  5. J

    kujisikia kuchoka kila mara

    habari zenu madaktari humu, mwenzenu hivi karibuni najisikia kuchokachoka na kupatwa na usingizi kila mala, maleria sina wala homa yoyote ila tu mwili unakuwa wa kuchokachoka tu, nini sababu ya hili? dawa gani naweza kutumia? asanteni
Back
Top Bottom