Kuna rafiki yangu ni mchina alikuwa anataka mtu aliyesomea Material Engineering, changamoto imekuja ni kwamba hakuna mtu hata mmoja aliyetuma CV , na ni we week imepita tokea tangazo litoke.
Swali langu ni mmoja inamaana hiyo program haifundishwi kwa hapa Tanzania na kama haifundishwi ni watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.