Recent content by JHB

  1. J

    JamiiForums Tanzania Nasumbuka sana wakuu mwenye kujua Tiba ya vidonda vya tumbo anijuze

    Asante mkuu. Hivyo viazi unavichemsha kwanza ndo unasaga au unasaga vikiwa vibichi
  2. J

    JamiiForums Tanzania Nasumbuka sana wakuu mwenye kujua Tiba ya vidonda vya tumbo anijuze

    Mkuu ni kweli mimi pia nna shida ya gesi nyingi sana tumboni. Vp ushauri wako nitumie dawa gani kukabiliana nayo? Akhsante
  3. J

    JamiiForums Tanzania Napata maumivu ya kifua upande wa kushoto shingo pamoja na mikono yote miwili

    Asante mkuu nlishawah kupima h pyrol mwaka juzi Nilikutwa nao nikapewa dawa lakin mwaka jana mwezi Wa 12 nilipima tena nikakuta negative
  4. J

    JamiiForums Tanzania Napata maumivu ya kifua upande wa kushoto shingo pamoja na mikono yote miwili

    Asante mkuu dawa gani unashauri nitumie maana za hospital ant acid zote nishatumia
  5. J

    JamiiForums Tanzania Napata maumivu ya kifua upande wa kushoto shingo pamoja na mikono yote miwili

    Asante mkuu yan nateseka sana.. Nimetumia sana dawa za ant acid lakin bado tu.... Huu mwaka wa pili sasa nahangaika hata ufanisi kazin umepungua sana
  6. J

    JamiiForums Tanzania Napata maumivu ya kifua upande wa kushoto shingo pamoja na mikono yote miwili

    Mara zote hua inacheza kwenye 112/67, 2 117/71
  7. J

    JamiiForums Tanzania Napata maumivu ya kifua upande wa kushoto shingo pamoja na mikono yote miwili

    Sawa mkuu ntaufanya kazi ushauri wako.. Asante sana
  8. J

    JamiiForums Tanzania Napata maumivu ya kifua upande wa kushoto shingo pamoja na mikono yote miwili

    Asante mkuu kwa ushauri.. Vipimo vyote nimepima.. Echo Ecg Pamoja na vipimo vingi vya damu.. Protonin level Cholerstrol Kiwango cha oxygen kwenye dam Na vingne vingi tu Pressure pia ipo normal always nikipima Mapigo ya moyo pia yako kawaida
  9. J

    JamiiForums Tanzania Napata maumivu ya kifua upande wa kushoto shingo pamoja na mikono yote miwili

    Mkuu nimepima presha pressure zaid ya mara 9....wakati wote ipo normal.. Yan uzito wangu ni kg 81
  10. J

    JamiiForums Tanzania Napata maumivu ya kifua upande wa kushoto shingo pamoja na mikono yote miwili

    Wakuu Habari za mida. Mimi Nina umri wa miaka 31 nimekua nikiambulia na tatizo la maumivu ya kifua upande wa kushoto. Maumivu hayo pia nayapata kwenye mkono wa kushoto wakati mwingine mkono wa kulia. Inafikia muda shingo inakua inauma muda mwingine inakua kama inakakamaa dizain kama nimekabwa...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Alshabab wametulia kupisha COVID 19
Back
Top Bottom