NI HASARA SANA KWA NCHI KUBWA KAMA TANZANIA KUWA NA VIONGOZI WASIO HAYA WALA SONI KAMA TULIENAE.Hata aibu haipo na wajinga wanaendelea kusifu ilhali maeneo watokayo hayana kitu chochote na ndugu zao wanakufa kila uchao kwa kukosa huduma mambo yote ni ubabe juu ya ubabe.Nakumbuka mjinga mmoja...
Huwezi kuwa perfect leader hata siku moja na ili ufikie viwango hivyo na useme ww ni kiongozi wa wanyonge lzm ujinyime sana la sivyo utajikuta unanyonga wanyonge kwa kulewa madaraka tu na ukafika pahala ambapo ww hujali gharama ila kinachokusukuma ni ile kusema mm ndio Rais bwana.
Walimu hawa sijui tuwaitaje katika Tanzania hii,yawezekana kada hii ilishavamiwa na vilaza na wapumbavu wengi sana maana asilimia kubwa ya walimu hadi kadi zao za benki wanawakabidhi matapeli yaani huwezi kuelewa kabisa upuuzi wanaoufanya walimu walio wengi.Inasikitisha sana na hawa ndio...
Hatia ni hatia tu huwezi kushinda UCHAGUZI kwa kishindo alafu ukabaki unamuogopa mtu ambae hata wabunge wawili hana nchi nzima na bunge zima.sasa hiyo ni akili au matope.tuache kutawaliwa na ujinga.kama wameshinda kwa HAKI basi wafungue mitandao ya kijamii.Dhamira humsumbua sana mwizi akijua...
Umoja wako wa Africa ulishashindwa kila kitu tatizo letu Africa ni unafiki na ulafi wa madaraka na owongo. umoja ulioshindwa kutatua hata mgogoro mmoja wa Congo jirani zetu hapa ndio unataka kuwavika jukumu ambalo halilingani na umri wao.Vijitu vinatumwa kuja kula posho tu na kulishwa maneno ya...
Ww bado ni mtoto na hujui ulimwengu ulikotoka ndio maana maandiko yako hayausiani na ustaarabu wa kilimwengu ndio hujui unaandika nn.Si lazima kuandika hata Kama huna cha kuandika.
Bora mimi sikuchagua binadamu asiye na tone la huruma ingawa ni mkatoliki anayesali sala ya baba yetu inayomuomba Mungu atusamehe makosa yetu Kama na sisi tunavyo wasamehe wale walio tukosea.Tukiikataa sauti ya wengi twaikataa sauti ya Mungu,Tukijichagua ilhali Mungu hajatuchagua basi tujue...