Recent content by Jessykalinjuna

  1. J

    JamiiForums Je kuna mkopo awamu ya tatu? Na inatoka lini?

    Mkuu tafadhali fafanua unamaanisha batch ya tatu ya mikopo au udahili wa vyuo
  2. J

    JamiiForums Naombeni msaada wa kujua kama nimepata mkopo

    I hope tutafika tu!
  3. J

    JamiiForums Naombeni msaada wa kujua kama nimepata mkopo

    Hata mimi, ila nilipo sikia tetesi izo nikaamka tena kuanza msako wa hayo majina ndio mpaka muda huu nikaona sina jinsi nyingne zaidi ya kuja huku kuomba msaada!
  4. J

    JamiiForums Naombeni msaada wa kujua kama nimepata mkopo

    Asante sana wakubwa
  5. J

    JamiiForums Naombeni msaada wa kujua kama nimepata mkopo

    Basi yakifanikiwa kutoka naomba tujuzane kujua tunaanzaje mwaka huu wa masomo kwakweli
  6. J

    JamiiForums Naombeni msaada wa kujua kama nimepata mkopo

    Maana nimesikia kuwa awamu ya tatu na nne ambayo ndio ya mwisho yametoka. Ila baada ya kuyatafuta na kuto kupata majibu chanya, nikaona nije huku kuomba msaada kuangaliziwa jwa alie nayo kama yapo nijue hatima yangu
  7. J

    JamiiForums Naombeni msaada wa kujua kama nimepata mkopo

    Dah! Kweli na asante sana mkuu kwa kuligundua hilo ni s0255.0012.2012
  8. J

    JamiiForums Naombeni msaada wa kujua kama nimepata mkopo

    Kukosea aje tena mkuu naomba muongozo
  9. J

    JamiiForums Naombeni msaada wa kujua kama nimepata mkopo

    Samahani! Ningependa kupata msaada kuangaliziwa kama nimepata mkopo namba yangu ni s0255.0012.0012 maana nimepitia majina ya awamu ya kwanza na ya pili ila kila nikijaribu kutafuta kwenye mtandao awamu ya tatu na nne siyapati naomba mwenye majina hayo anisaidie tafadhali
Back
Top Bottom