MUZIKI NA MALEZI
Mzazi lazima umwambie mtoto wako kuna nyimbo hatakiwi kuzisikiliza wala kuziimba.
Kwenye eneo la muziki na malezi wazazi mmejisahau sana.Wengi mmeweka mkazo katika kuzuia watoto kutokuangalia picha za ngono lakini je umeshawahi kuwaambia nyimbo kama hizi sitaki uzisikilize...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.