Recent content by Jerry rawlings

  1. J

    Kitu gani kilikufanya ukaachana na mpenzi uliempenda sana?

    Nimesafiri wiki moja tu kikazi mkoani,,,,,mwenzangu kila muda ni kunituhum nachepuka,,,haishi kulalamika na mbaya zaidi ni mwanamke ambae anapenda kukufananisha kimaendeleo na washkaji zao au hata jirani,,,akiona hata gari nzuri tu utasikia''Sijui na wewe utapata lini hela uwe kama wenzako? Kisa...
  2. J

    Ulichukua muda gani kumtoa moyoni Ex wako?

    2010 mwezi December hivi nipo zangu Bunda,,,kuna lodge moja nimepumzika ili kesho niamke kwenda kwenye kikazi cha temporary ukerewe,,,nje naskia tu Mlinzi anaurudia wimbo wa diamond''Nalia na Mengi" kila ukiisha unaurudia tena kutoka kwenye simu yake. Asubuh kumekucha najiandaa kuanza safari...
  3. J

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Tarehe 24/5/2013 natoka zangu Nachingwea kuja Dar na basi la Najma baada ya kumaliza shughuli iliyonipeleka ambayo ni ''submission of tender documents za miradi ya maji na barabara'',,tumetoka zetu Nachingwea na basi la Najma likiwa limejaza siti zote isipokuwa siti moja tu pembeni yangu tena ya...
  4. J

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Baada ya kupitia uzi huu nami nimeona nilete kisa changu cha kupata penzi kimasihara kutoka kwa shemeji yangu. Ilikuwa 2012,,,tulienda Kahama kwa ajili ya usimamizi wa project flani za miradi ya Maji. Tulikuwa mimi na workmate mwenzangu ambae kwa bahati nzuri yeye alifanikiwa kupata binti mmoja...
Back
Top Bottom